Tangazo limetolewa tarehe 11 Novemba, 2022
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar inawatangazia walioomba nafasi za kazi katika kada za Mkaguzi wa Hesabu daraja la II, Mkaguzi wa Kodi daraja la II pamoja na Mkaguzi wa Bima na Vihatarishi daraja la II kushiriki katika zoezi la usaili wa maandishi (Written Interview) kwa Unguja na Pemba. Orodha ya waliochaguliwa kushiriki katika usaili huo ni kama inavyoonekana hapa: “WITO WA USAILI – OCAGZ”