Tangazo la ripoti
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZIAfisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Wazanzibari wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi nne (4) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.Afisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya 1984, Kifungu 112 …