Tangazo la ripoti

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZIAfisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Wazanzibari wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi nne (4) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.Afisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya 1984, Kifungu 112 …

Tangazo la ripoti Read More »

Rais wa Zanzibar na Mwenyeketi Dr. Hussein Ali Mwinyi akipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar.

Akiwasilisha ripoti hiyo Mdhitibi na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar amemueleza kwa ufupi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar juu ya mambo yaliyobainika katika ukaguzi huyo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi ameahidi kuwachukulia hatua wote ambao wametajwa katika ripoti hiyo na kubainika kufanya ubadhiriwa mali …

Rais wa Zanzibar na Mwenyeketi Dr. Hussein Ali Mwinyi akipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar. Read More »

CAG Dr. Othman Abbas Ali akikabidhi ripoti ya Ukaguzi kwa Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar 2021.

Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Dr. Othman Abbas Ali akikabidhi ripoti za Ukaguzi wa Mawizara, Mashirika pamoja na Serikali za mitaa kwa mwaka wa fedha 2021-2022, ghafla iliyofanyika ikulu Mnazi Mmoja Zanzibar. Ghafla ambayo imehudhuriwa na viongozi mbali mbali wa serikali wakiwemo makatibu wakuu wa mawizara pamoja na Wakurugenzi na viongozi …

CAG Dr. Othman Abbas Ali akikabidhi ripoti ya Ukaguzi kwa Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar 2021. Read More »

Kunjungi halaman kami 👉👉 Sweet Bonanza game slot dana penghashil uang