Tangazo la nafasi za Kazi

Tangazo la nafasi za Kazi Afisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya 1984, Kifungu 112 kwa lengo la kudhibiti na kukagua Hesabu za Serikali na kuhakikisha kwamba kunakuwa na uwajibikaji na uwazi katika matumizi ya fedha na usimamizi wa Rasilimali za Umma. Afisi ya […]

Tangazo la nafasi za Kazi Read More »