Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Dr. Othman Abbas Ali akikabidhi ripoti za Ukaguzi wa Mawizara, Mashirika pamoja na Serikali za mitaa kwa mwaka wa fedha 2021-2022, ghafla iliyofanyika ikulu Mnazi Mmoja Zanzibar.
Ghafla ambayo imehudhuriwa na viongozi mbali mbali wa serikali wakiwemo makatibu wakuu wa mawizara pamoja na Wakurugenzi na viongozi mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar 2021.