Akiwasilisha ripoti hiyo Mdhitibi na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar amemueleza kwa ufupi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar juu ya mambo yaliyobainika katika ukaguzi huyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi ameahidi kuwachukulia hatua wote ambao wametajwa katika ripoti hiyo na kubainika kufanya ubadhiriwa mali ya Umma.