Tangazo la Usajili
Afisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar inawatangazia wananchi wote kwamba imeweka ripoti za Ukaguzi kwa jamii, hivyo yoyote atakayehitaji kuziona ripoti hizo anakaribishwa. Ahsanteni sana

Ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu achaguliwe kuwa rais wa Zanzibar ameweza kulihutubia bunge juu ya mipango mikakati yake
Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Dr. Othman Abbas Ali akikabidhi ripoti za Ukaguzi wa Mawizara, Mashirika pamoja na Serikali za mitaa kwa mwaka wa fedha 2021-2022, ghafla iliyofanyika ikulu Mnazi Mmoja Zanzibar. Ghafla ambayo imehudhuriwa na viongozi mbali mbali wa serikali wakiwemo makatibu wakuu wa mawizara pamoja na Wakurugenzi na viongozi …