ocagz

Tangazo la ripoti

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZIAfisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Wazanzibari wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi nne (4) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.Afisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya 1984, Kifungu 112 …

Tangazo la ripoti Read More »

Rais wa Zanzibar na Mwenyeketi Dr. Hussein Ali Mwinyi akipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar.

Akiwasilisha ripoti hiyo Mdhitibi na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar amemueleza kwa ufupi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar juu ya mambo yaliyobainika katika ukaguzi huyo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi ameahidi kuwachukulia hatua wote ambao wametajwa katika ripoti hiyo na kubainika kufanya ubadhiriwa mali …

Rais wa Zanzibar na Mwenyeketi Dr. Hussein Ali Mwinyi akipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar. Read More »

Tangazo la Usajili

Afisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar inawatangazia wananchi wote kwamba imeweka ripoti za Ukaguzi kwa jamii, hivyo yoyote atakayehitaji kuziona ripoti hizo anakaribishwa. Ahsanteni sana

Kunjungi halaman kami 👉👉 Sweet Bonanza game slot dana penghashil uang